“Ahsanteni, Nitafurahi Nikipata Kazi Hapo”
Home
JOB VACANCIES - HOTEL VERDE
Nafasi Za Kazi Hotel Verde
Hotel Verde - Zanzibar Inatangaza Kwa Umma Nafasi Za Kazi. Nafasi Za Kazi Ni Kama zifuatazo Hapo Chini Na Majukumu Yake Kazi Hizo.
◾ Wafanya wa Usafi (Housekeeping Attendant): Kusafisha na kuandaa vyumba vya wageni. Kutunza na kuhakikisha vifaa vya usafi vinapatikana nk.
◾ Waoshaji wa Vyombo (Dishwasher): Kuosha vyombo na vifaa vya kupikia. Kutunza usafi wa eneo la kuosha vyombo nk.
◾ Wasaidizi wa Migahawa (Busser): Kuondoa sahani na vyombo vilivyotumika kutoka kwenye meza. Kusafisha na kupanga meza kwa ajili ya wageni wapya nk.
◾ Wafanyakazi wa Mapokezi (Front Desk Clerk): Kuwapokea na kuwaandikisha wageni wanapofika. Kujibu maswali na kutoa taarifa kwa wageni. Kusimamia malipo na shughuli nyingine za mapokezi nk.
◾ Watoaji wa Huduma za Vyumbani (Room Service Attendant): Kuchukua na kutoa oda za chakula na vinywaji kwa wageni. Kuripoti mahitaji maalum ya wageni kwa idara husika nk.
Tafadhali jaza fomu ya maombi hapo chini kuomba nafasi yoyote ya hizi zilizotajwa. Jiunge na uwe mfanya kazi wa Hotel Verde leo
Jaza Taarifa Zako Kwa Usahihi:
Tarehe Ya Kuzaliwa
Tarehe Uliyotuma Maombi
APPLICATION REVIEW
Tafadhali angalia maelezo yako hapa chini kam kuna makosa yoyote za kuandika. Waombaji wote lazima wathibitishe kuwa taarifa za maombi yao ni sahihi kama inavyowakilishwa kwenye jedwali hapa chini.
Baada ya kukagua taarifa za maombi yako, fuata maelezo yaliyotolewa ili kuruhusu, kuendelea na kuthibitisha kwa kutuma maombi lako.
| APPLICATION INFORMATION | |
|---|---|
| Jina Kamili | |
| Namba Ya Simu | |
| Mkoa/Wilaya Unayoishi | |
| Nafasi Ya Kazi Unaomba | |
| Tarehe Ya Kuzaliwa | |
| Tarehe Uliyotuma Maombi | |
| Mtaa Unaoishi | |
CANDIDATE APPLICATION
Compiling application information, please wait...